Kiongozi Wa Wafuasi

Kitabu hiki cha Kiongozi Wa Wafuasi, ambacho kina kurasa 165 kimetokana na miaka 25 ya kufunza wafuasi wanaume kwa wanawake. Watu wengi wamekomaa kutumia mafundisho yanayopatikana katika kitabu hiki, kisha wakayatumia hayo mafundisho kufunza wengine kukomaa. Sasa kimetayarishwa ili kufunza viongozi. Kinapatikana bila malipo katika mtandao huu, na kinaweza kufunguliwa chote, au kufunguliwa kwa sehemu. Tafadhali fungua kwa Ukurasa Wa Yaliyomo ili uweze kuona sura zilizoko katika kila sehemu za kitabu hiki.

Itakulazimu kuwa na Adobe Acrobat ili uweze kukifungua. Tunapendekeza kwamba utumie Acrobat Reader 7.0 ili uweze kusoma kitabu kizima. Kama huna Adobe Acrobat Reader, basi utaweza kukipata kwa kubonyeza hapa.

Kitabu hiki cha Kiongozi Wa Wafuasi pia kinaweza kununuliwa kutoka kwa BWM kwa $15.00 ikiwa pamoja na gharama ya posta.

Tumegawa kitabu hiki kwa sehemu ndogo ndogo kwa sababu ya ukubwa wake. Hii itarahisisha kufungua sehemu ya kitabu hiki ili uweze kuichapisha au kuisoma tu. Unaweza kufanya hivyo kwa kuchagua sehemu unayohitaji kutoka kwa orodha hii:

Kitabu cha Kiongozi Wa Wafuasi (1,000K)

Disciple Making Tools